03.09.2016
Naibu rais azindua kondomu zenye ladha Afrika Kusini
Naibu wa rais nchini Afrika Kusini
alichukua fursa bungeni wakati ambapo rais wa taifa hilo Jacob Zuma
alikuwa amesafiri nje ya nchi kuwakilisha maswala ya serikali ikiwemo
kondomu isiyo na kelele na yenye ladha ya machungwa kwa wabunge.ENDELEA
03.09.2016
Mbunge ataka watu wenye jinsia 2 kutambulika Kenya
Mbunge mmoja nchini Kenya amelitaka
bunge la taifa hilo kupitisha sheria inayotambua jinsia nyengine ya tatu
ili kumaliza ubaguzi dhidi ya wale wanaotumbulika kuwa na jinsia mbili.ENDELEA
02.09.2016
Daktari apatikana na video ya watu wakishiriki ngono na nyoka
Daktari
mmoja nchini Uingereza amepatikana na hatia ya kuwa na video za ngono,
ikiwemo moja ya mwanamume akishiriki ngono na nyoka.ENDELEA
26.08.2016
‘Watoto bandia’ washindwa kuzuia mimba za mapema
Mradi unaolenga kupunguza idadi ya
wasichana wanaopata mimba mapema kwa kutumia watoto bandia nchini
Australia, huenda umesababisha matokeo ambayo hayakuwa yanatarajiwa ama
ambayo hayakutakikana.
26.08.2016
Mwanamume ameza visu 40 nchini India
Madaktari katika mji wa Amritsar kaskazini mwa India wamesema, wametoa visu 40 kutoka kwa tumbo la mwanamume mmoja.
26.08.2016
Mbwa achaguliwa tena kuwa meya Minnesota, Marekani
Mbwa mmoja katika jimbo la Minnesota, Marekani amechaguliwa tena kuhudumu kama meya wa mji mmoja katika jimbo hilo.
Mtoto wa Miezi Tisa Ashitakiwa Kwa Jaribio la Mauaji Pakistan
Mtoto wa miezi tosa (9) mafichoni kule LAHORE Pakistan kwa sababu ana kesi ya kujibu. Mtoto huyo pichani ambaye hata hawezi kunyanyua chupa yake ya maziwa anadaiwa kushiriki kwenye jaribio la mauaji.
Pamoja na mtoto huyo Baba yake na Babu yake wanahukumiwa pia. Sakata hilo lilianza pale polisi mmoja na mfanyakazi wa kampuni moja ya gesi aliyekuwa anakusanya bili za muda mrefu waliporushiwa mawe na waandamanaji wanaopinga kupunguzwa kwa gesi na kupandishwa bei. Kesi ya kichanga hiki inaonyesha wazi udhaifu ulioko kwenye sheria za PAkistani Hata hivyo taarifa za hivi punde kutoka LAHORE, Pakistani zinasema kuwa mahakama hiyo imemfutia kesi mtoto huyo
No comments:
Post a Comment