Makundi ya waasi nchini Syria
yameonesha kutoridhishwa na kusitishwa kwa mapigano kunakosimamiwa na
Urusi na Marekani ambapo kusitishwa huko kunatarijiwa kuanza Jumatatu
jioni.
![]() |
Marekani na Urusi zinaongoza kuhamasisha kusitishwa kwa vita |
Kiongozi wa kikundi kingine cha waasi mjini Alepo amesema kuwa wanakubali kuondoa uhasama na kuruhusu misaada lakini ana wasiwasi na makubaliano.
Mashambuzli ya ndege za Syria na Urusi yameendelea siku ya jumapili katika mji wa Alepo na Idlib.
Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mashambulizi yaliotekelezwa siku ya jumamosi.
No comments:
Post a Comment