Watangazaji waandamizi wa runinga ya
taifa na viongozi wakuu wa serikali nchini Uzbekistan wametuma ujumbe
wa tanzia katika mitandao ya kijamii kufuatia kuzagaa kwa uvumi kuwa
rais Islam Karimov ameaga dunia.
![]() |
Rais Islam Karimov wa Uzbekistan |
Karimov ameliongoza taifa hilo la Uzbekistan kwa zaidi ya robo ya karne sasa.mapema wiki hii, mmoja kati ya watoto wake aliarifu kuwa babake alikuwa akisumbuliwa na tatizo la ubongo wake kuvia damu, ingawa serikali haijatoa tamko lolote kuhusiana na hali ya kiongozi huyo.
No comments:
Post a Comment