Mahakama moja nchini Ufaransa
iliyoko pwani ya mji wa Corsica, imesita kutoa amri ya katazo kwa
wanawake wavaa vazi la burkini,vazi hilo ambalo mwanamke avaapo huanzia
kichwani na kustiri mwili wote, na hupendwa mno na wanawake wa Kiislam.
![]() |
Mwanamke na vazi la Burkini pwani |
Kufuatia katazo hilo Meya mmoja alitoa mari ya kusitisha na kupekuliwa kwa wanawake watakaokuwa wamevaa burkini baada ya mvutano wa waliokuwa wamevaa vazi hilo pwani wakati wa mapumziko .
No comments:
Post a Comment