Runinga za Sony Bravia zilizotengezwa mwaka 2012 hazitoweza kuonyesha tena kanda za video za YouTube baada ya Septemba 30.
![]() |
Runinga za Sony Bravia |
Kutokana na hatua hiyo programu ya You Tube katika runinga hizo itaondolewa kufikia mwisho wa mwezi huu,Sony imesema.
Kampuni ya Sony imetoa orodha ya mifano 50 ya runinga ambazo zitaathiriwa na mabadiliko hayo.
No comments:
Post a Comment