Most Popular

Taifa Stars yaaga mchujo wa AFCON kwa kichapo cha 1-0 dhidi ya Super Eagles

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imehitimisha safari yake ya kuwania kucheza michuano ya mataifa ya Afrika 2017 maarufu kama AFCON kwa kushiriki mechi ya mwisho dhidi ya Super Eagles ya Nigeria.

Taifa Stars kwenye mchezo wake huo mwa mwisho kwenye kundi G ilipokezwa kipigo cha goli 1-0, goli ambalo lilifungwa dakika ya 77 na nyota wa Nigeria anayeichezea Man City ya England Kelechi Iheanacho.

Hiki ni kipigo cha 5 Taifa Starskufungwa na Nigeria katika mechi zake nane walizowahi kukutana na Taifa Stars haijawahi kuifunga Nigeria na wameambulia sare 3 kati ya mara zote 8 walizokutana.
Posted By: MJOMBA ZECODER

Taifa Stars yaaga mchujo wa AFCON kwa kichapo cha 1-0 dhidi ya Super Eagles

No comments:

Post a Comment

About Us

Advertisment

Like Us

© WWH-WORLD WIDE HABARI All rights reserved | Theme Designed by Mjomba Computers Published.. Blogger