Madaktari wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na
kurejesha uwezo wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani.
Kundi
la madaktari kutoka hospitalia ya John Radclife nchini Uingereza,
walitumia roboti hiyo kutoa ngozi nyembamba zaidia kutoka jicho la
mgonjwa.
Mgonjwa kwa jina Bill Beaver mwenye umri wa miaka 70 aliyefanyiwa upasuaji huo sasa anasema anahisi vyema.
Madaktari wana matumaini kuwa mfumo huo utasaidia katika upasuaji unaohitaji umakini zaidi.
Mgonjwa kwa jina Bill Beaver mwenye umri wa miaka 70 aliyefanyiwa upasuaji huo sasa anasema anahisi vyema.
Madaktari wana matumaini kuwa mfumo huo utasaidia katika upasuaji unaohitaji umakini zaidi.
No comments:
Post a Comment