Polisi nchini Brazil wamesema kuwa
wanahitaji kuongea na Rais wa kamati ya kimataifa ya Olympic, Thomas
Bach, kuhusu kuhusika na mpango haramu wa kuuza tiketi kwenye michuano
ya Rio iliyokamilika mwezi uliopita, ambapo polisi wamesema watamhoji
kama shahidi, na si mtuhumiwa.
Hickley amekanusha kuhusika na mpango wowote wa kuuza tiketi za Olimpiki. Pia bwana Thomas Bach hajarudi Rio tangu kumalizika kwa michuano ya Olympic na amekosa ufunguzi wa sherehe za Paralympic zilizofanyika siku ya jumatano.
No comments:
Post a Comment