Mwanamitindo mwenye ndevu za urefu
wa inchi sita ametambuliwa na Guinness World Record kuwa mwanamke wa
umri mdogo zaidi duniani kuwa ndevu zilizokomaa kabisa.
![]() |
Harnaam Kaur anasema kwa miaka mingi amekejeliwa kwa sababu ya ndevu zake |
Amesema ni heshima kubwa kwake kutambuliwa.
Ameeleza ndevu hizo ndefu kama sehemu ya juhudi zake za kukabiliana na watu wengi waliomkejeli kutokana na muonekano wake.
![]() |
Machi 2016 Harnaam Kaur alikuwa mwanamke wa kwanza kushiriki maonyesho ya mitindo ya London Fashion Week akiwa na ndevu |
Bi Kaur ana tatizo la homoni lifahamikalo kwa Kiingereza kama polycystic ovary syndrome, ambalo humfanya mwanamke kuwa na nywele zaidi kuliko kawaida usoni.
Machi 2016 Harnaam Kaur alikuwa mwanamke wa kwanza kushiriki maonyesho ya mitindo ya London Fashion Week akiwa na ndevu.
'Rekodi ya llama'
Rekodi ya paka mrefu wa kufugwa nyumbani ambaye bado yuko hai imemwendea paka kwa jina Ludo kutoka Wakefield, West Yorkshire ambaye urefu wake ni 3ft 10.59in (1.183m).
![]() |
Ludo na mmiliki wake Kelsey Gill mwaka 2014 |
Anaishi Porthmadog, Wales Kaskazini.
No comments:
Post a Comment