Mfungwa mmoja ameapishwa kuwa meya mpya wa mji mkuu wa Pakistan-Karachi.
![]() |
Mfungwa mmoja ameapishwa kuwa meya mpya wa mji mkuu wa Pakistan-Karachi. |
Waseem Akhtar alikamatwa mwezi Julai kwa kushukiwa kuwa aliwapa hifadhi magaidi pale alipokuwa waziri wa jimbo hilo miaka tisa iliyopita.
Bwana Akhtar, amesema kwamba ushindi wake ni wa kihistoria, huku akitaja mashtaka dhidi yake kuwa ni ya uwongo.
No comments:
Post a Comment