Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel ameonekana kutikiswa kisiasa huko kaskazini mashariki mwa jimbo la Mecklenburg-Pomerania.
![]() |
Umaarufu wa Bi. Merkel umekuwa wa hati hati tangu aliporuhusu zaidi ya wakimbizi milioni moja kuingia Ujerumani |
Chama cha mrengo wa kushoto kinaonekana kuweka juu kiuchaguzi.
Umaarufu wa Bi. Merkel umekuwa wa hati hati tangu aliporuhusu zaidi ya wakimbizi milioni moja kuingia Ujerumani kwa mwaka uliopita jambo ambalo chama cha AfD linakibagua.
Kura za leo ni kipimo tosha kwake ikiwa ataendelea kusalia madarakani mara baada ya uchaguzi mkuu wa hapo mwakani.
No comments:
Post a Comment