Mahakama moja nchini Marekani 
imemfunga jela raia moja mwenye asili ya nchini  Romania   kwa kosa la 
udukuzi mtandaoni kwa watu wenye hadhi za juu nchini humo ikiwemo 
familia ya  Bush.
![]()  | 
| mdukuzi wa mambo binafsi ya watu maarufu adakwa Marekani | 
Wakati wa mahojiano na mtuhumiwa huyo, alisema alivunja mfumo wa komputa binafsi uliokuwa ukitumiwa na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Democratic Hillary Clinton, wakati alipokuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, hata hivyo kitengo cha usalama wa kimtandao nchini humo umepinga madai hayo.
Marcel alifikishwa nchini Marekani mwezi Aprili na kukutwa na hatia ya kuingilia mifumo binafsi ya watu ya komputa zilizokuwa na ulinzi binafsi


No comments:
Post a Comment