Klabu ya Manchester City imekata
rufaa dhidi ya shtaka la kucheza vibaya linalomkabili mshambuliaji wake
Sergio Aguero dhidi ya mchezaji Winston Reid kutoka West Ham.
Aguero alimpiga kiwiko Winston Reid![]() |
Sergio Aguero |
Iwapo atapatikana na hatia ,mchezaji huyo wa Argentina atapigwa marufuku ya mechi tatu na kukosa deby ya Manchester mnamo tarehe 10 mwezi Septemba.
Pia ataikosa mechi ya ligi dhidi ya Bournemouth pamoja na ile ya kombe la EFL dhidi ya Swansea.
No comments:
Post a Comment