Bayern Munich walianza vema kutafuta taji la Klabu bingwa barani ulaya mara baada ya magoli mawili toka kwa Joshua Kimmich kuisaidia timu hiyo kuilaza Rostov magoli 5-0.
Bayern ambao watapambana pia na Atletico na PSV,İLİPATA GOLİ LA KWANZA kupitia penati iliyofungwa na Robert Lewandowsky.
Ilikuwa ni katika mda wa majeruhi wa kipdindi cha kwanza pale Thomas Muller alipoipatia Bayern goli la pili kabla Joshua Kimmich hajaongeza magoli mengine mawili ndani ya dakika 7 na kufanya mchezo ajkama vile ushindani umemalizika.
Lakini alitoke mchezaji aitwaye Juan Benart toka benchi na kuongeza goli la tano katika dakika za majeuhi za kipindi cha pili.Hadi mwisho wa mchezo,Bayern 5, Rostov 0

No comments:
Post a Comment