Wanajimu katika maeneo tofauti ya bara Afrika wameona moto wa mviringo angani wakati wa kupatwa kwa jua.
![]() |
watu wakitumia kila njia kuona jua linavyozibwa |
Matokeo yake huwa ni mviringo mkubwa unaong'aa ukiwa umezunguka eneo jeusi .
![]() |
kupatwa kwa jua |
Kupatwa huko kwa jua pia kulionekana nchini Gabon,Congo-Brazaville,DRC Madagascar na kisiwa cha Re-union.
Wakati ambapo mwezi uko mbali na dunia ,huonekana mdogo na hauwezi kuliziba jua kabisa wakati wa kupatwa kwa jua.Matokeo yake hujulikana kama mviringo wa moto.
![]() |
Kupatwa kwa jua |
No comments:
Post a Comment