Most Popular

John Kerry akwama kwenye foleni Delhi, India

kwa raia wa kawaida, barabara huwa hivi...


Wageni mashuhuri wanapozuru mji wa Delhi, hutarajia kupata barabara zikiwa wazi namna hii.

Lakini Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry alipofika Delhi kwa mashauriano na maafisa wa serikali Jumatatu jioni, hakuwa na bahati.

Mvua kubwa ilinyesha na 'kukosa kutambua cheo chake'.
Badala ya magari yake kupitia barabara zilizo wazi, msafara wake wa magari ulikwama kwenye foleni zaidi ya saa moja.

 hali huwa mbaya zaidi wakati wa mvua ya upepo wa msimu.

Lilikuwa jambo lisilo la kawaida kwa sababu maafisa wa usalama huondoa magari barabarani kutengeneza njia ya kutumiwa na wageni mashuhuri.

Posted By: MJOMBA ZECODER

John Kerry akwama kwenye foleni Delhi, India

No comments:

Post a Comment

About Us

Advertisment

Like Us

© WWH-WORLD WIDE HABARI All rights reserved | Theme Designed by Mjomba Computers Published.. Blogger