Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Hamisi Kiiza
ameasajiliwa na klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini inayaoshiriki
ligi kuu.
Kiiza baada ya kutemwa na klabu ya Simba aliyodumu nayo kwa msimu mmoja tu, amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akiwa chini ya kocha Rantsi Mokoena.
Hamisi Kiiza atambulishwa rasmi pamoja na wachezaji wengine walio sajiliwa na klabu hiyo ya Free State Stars ya Afrika Kusini.

No comments:
Post a Comment