Shirikisho la soka duniani , FIFA
limezipiga marufuku timu za Real Madrid na Atletico Madrid kusajili
wachezaji wapya.Zuio hilo linadaiwa kudumu mpaka mapema mwaka 2018.
![]() |
Atletico Madrid wakipokea maelezo, mazoezini |
Timu ya Real Madrid imeielezea hatua hiyo kama ukiukwaji wa haki na imeeleza dhamira yake ya kukata rufaa zaidi, katika mahakama ya Usuluhishi ya Michezo.
No comments:
Post a Comment