Michezo ya kuwania kuzufu kwa
fainali za kombe la dunia zitazofanyika nchini Urusi mwaka 2018, kwa
ukanda wa Amerika kusini, zimechezwa usiku wa kuamkia leo.
![]() |
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymer Jr |
mshambuliaji Neymer junior, aliipatia timu yake bao la kwanza kwa penati , beki wa kushoto wa Ecuador Walter Ayovi, akajifunga kisha kinda Gabriel Jesus, akihitimisha bao la ushindi kwa brazil.
Argentina nao waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Urugway bao hilo likuwekwa kambani na mshambuliaji wao mahiri Lionel Messi.
Wekundu weupe wa Paraguay nao wakaibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Chile La Roja magoli ya Paraguay yakifungwa na Oscar Romero na beki Paulo da Silva huku bao pekee la Chile likifungwa na kiungo Arturo Erasmo Vidal.
No comments:
Post a Comment