Most Popular

KLABU BINGWA BARANI ULAYA:RONALDO NA MORATA WATIBUA SHEREHE YA WARENO

Walidhani wameshinda...eke..wakaanza kusherehemtibkea....wakasahau kuwa Mreno mwenzao alikuwa na majonzi na wakamtibua!!

Ni Sporting Lisbon timu ya Ureno.Waliienyesha Real MADRID  ikiwa kwao na kuwanyima raha dakika 88 zote za mchezo huo.

ilikuwa ni katika dakika ya 47 ya mchezo.Kiungo wa Sporting Lisbon,Bruno Cesar alipoipatia timu yake bao la kuongoza mara baada ya kupokea pasi toka kwa Ruiz ambaye alimpokonya Ramos mpira ndani ya eneo la hatari na kupeleka kilio kwa mabingwa hao watetezi.

Hawakukata tamaa.Real Madrid waliendelea kupigana kiume pamoja na kubai wnwa mbavu na wageni wao.

Wahenga walisema "mvumilivu hula mbivu" na "kutangulia sio kufika"...Sporting Lisbon walianza kujihesabia ushindi ..hivyo wakajiandaa kusherehekea!!!

Alikuwa ni Christian Ronaldo,mnamo dakika ya 89 ya mchezo alipoamua kuwaua wareno wenzake.
Alifunga goli la kusawazisha .Mcheazaji huyo aliingia kwa kasi ndani ya eneo la Sporting Lisbon na kuchezewa vibaya na Eliasi.Tukio hilo lilipelekea Madrid kuzawadia fri kiki ..mpira uliopigwa na mchezaji huyo
na kujaa moja kwa moja kimiani.hadi mda wa kawaida wa mchezo unamalizika..Real Madrid 1,FC Sporting Lisbon 1.

Alikuwa ni Morata aliyechukua nafasi ya Karim Benzema,mnamo dakika ya 67 ya mchezo huo.Baada ya kuahangaika uwanjani takriban dakika 26 bila mafanikio,hatimaye aliwainua mashabiki wa Real Madrid mnamo dakika ya 94 ,dakika ya 4 ya mda wa ziada mara baada ya kupokea pasi ya James David Rodríguez Rubio.Hadi mwisho wa mchezo,R.Madrid 2,Sporting Lisbon 1.

MFUMO ULIOTUMIWA NA KILA TIMU
Mabadiliko yaliyofanywa na kila timu:

-
Posted By: MJOMBA ZECODER

KLABU BINGWA BARANI ULAYA:RONALDO NA MORATA WATIBUA SHEREHE YA WARENO

No comments:

Post a Comment

About Us

Advertisment

Like Us

© WWH-WORLD WIDE HABARI All rights reserved | Theme Designed by Mjomba Computers Published.. Blogger