Most Popular

SAMATA AIONGOZA GENK KUCHEZA EUROPA LEAGUE

Goli lililofungwa na Mbwana Samata mnamo dakika ya 2 ya mchezo liliiwezesha Timu ya Racing GENK ya Ubelgiji kufuzu kucheza katika mashindano ya Europa League Msimu huu,mara baada ya kuilaza timu ya Lokola pimotiva Zagreb kwa mabao 2-0.

Matokeo hayo yanafuatia matokeo ya mechi ya kwanza ambapo timu hizo zilitoka sare ya 2-2 nchini Croatia.Katika mechi ya pili GENK walikuwa nyumbani ambapo bao pili la timu hiyo liliwekwa kimiani na Bailey mnamo dakika ya 50.

Katika mechi ya mkondo wa kwanza,Samata pia alitupia goli moja.
Posted By: MJOMBA ZECODER

SAMATA AIONGOZA GENK KUCHEZA EUROPA LEAGUE

No comments:

Post a Comment

About Us

Advertisment

Like Us

© WWH-WORLD WIDE HABARI All rights reserved | Theme Designed by Mjomba Computers Published.. Blogger