Madaktari nchini Ufaransa wamefichua
kwamba mwanamke aliyefanyiwa upasuaji wa kwanza wa upandikizaji wa sura
alifariki mapema mwaka huu.
![]() |
Isabelle Dinoire ambaye alifanyiwa upasuaji wa kwanza wa upandikiza wa sura amefariki |
Alifanyiwa upasuaji huo uliochukua saa 15 mwaka 2005 baada ya kujeruhiwa na mbwa.
Madaktari waliutengeza mdomo wake,pua na taya katika upasuaji huo wa kwanza kuwahi kufanyika.
Hospitali hiyo imesema kuwa kifo chake hakikutangazwa hadi sasa ili kulinda faragha ya familia yake.
Alikuwa na umri wa miaka 49.
No comments:
Post a Comment