Wanachama wa tume ya Uchaguzi mkuu
nchini Gabon wametangaza kuwa rais Ali Bongo, amehifadhi kiti chake cha
urais baada ya kumshinda mpinzani wake Jean Ping.
![]() |
Ali Bongo atangazwa mshindi wa uchaguzi nchini Bongo |
Walinda usalama wanapiga doria katika barabara za mji mkuu Libreville huku taharuki ikitanda kote nchini humo.
Familia ya Bongo imetawala Gabon kwa nusu karne huku Omar Bongo akitawala kwa miongo minne, na mwanawe rais wa sasa Ali, alichukua hatamu za uongozi mnamo mwaka wa 2009
No comments:
Post a Comment