Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya
kwanza ilio na kioo kilichojipinda.Acer inasema kuwa uvumbuzi huo
utaiwezesha kucheza michezo ya video.
![]() |
Acer yazindua laptopu yenye kioo kilichojipinda |
Kampuni hiyo ya Taiwan pia ilitangaza kwamba imefanikiwa kupata tekenolojia ya pet katika mkutano na wanahabari mjini Berlin.
![]() |
Acer yazindua laptopu yenye kioo kilichojipinda |
Laptopu hiyo ina kioo kikubwa ikilinganishwa na laptopu ya kawaida ya Acer,lakini ni umbo lake ambalo liliifanya kampuni hiyo kudai kuwa ya kwanza kuzinduliwa duniani.
No comments:
Post a Comment